Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameiomba serikali kuwaondoa wawekezaji wa kichina kwenye misitu waondolewe kwani hawana tija kwa serikali zaidi ya kuwasababishia umasikini mkubwa wananchi wa mkoa huo.
Pamoja na mambo mengine Mwanyika ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 bungeni Dodoma Juni 3, 2024.
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇