LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 30, 2024

MCHUNGAJI MSIGWA ALIVYONOGESHA KIKAO CHA NEC CCM, UKUMBI WARINDIMA 'MLETE MSIGWA'

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akimpokea Mbunge wa zamani wa Chadema ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa, baada ya kutambulishwa mwanzoni mwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana.Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekitiu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi akimlaki Mchungaji Msigwa.Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Kinana akimpokea Mchungaji Msigwa.

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi alipokuwa akimwingiza ukumbini Mchungaji Msigwa.Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi alipokuwa akimpeleka Mchungaji Msigwa kusalimiana na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Samia, Rais Dk. Mwinyi na Kianana
Katibu wa NEC, It8kadi, Uenezi na Mafunzo Ammos Makalla alipokuwa akimtambulisha Mchungaji Msigwa,
Katibu wa NEC, It8kadi, Uenezi na Mafunzo Ammos Makalla alipokuwa akimtambulisha MchungajiMsigwa.
Makalla akimkabidhi sare za CCM Mchungaji Msigwa
,
Mchungaji Msigwa akizungumza baada ya kuvaa sare za CCM

Mwenyeki Rais Dk. Samia akifurahia maneno muruwa ya Mchungaj Msigwa. 

KIKAO👇

Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Samia alipokuwa akilakiwa ukumbini baada ya kuwasili kuongoza kikao hicho.
Wajumbe wakiwa wamesimama wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Samia.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Samia akianza kuongoza kikao hicho.
Kikao kikiendelea.
 Wajumbe.








No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages