LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 17, 2024

KIKWETE AGAWA KITOWEO SIKUKUU YA EID AL ADHA CHALINZE

 

Allah ametujalia kheri katika siku ya leo ya #EidAlAdha , ambapo tumechinga Ng’ombe zaidi ya 1500 katika maeneo mbalimbali ya halmashauri yetu. Pichani , nikiwa na Diwani wa Kata ya Kiwangwa Ndg. Malota Kwaga pamoja na Wananchi na Wahisani wetu ambapo Ng’ombe 800 wamechinjwa tukishirikiana na Jumuiya ya Waturuki na nyama kugaiwa maeneo mbalimbali ya Halmashauri yetu ya Chalinze.#EidAlAdha




 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages