LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 17, 2024

WAZIRI GWAJIMA AOMBA SH. BIL 67.9 BAJETI WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu  Dkt Doroth Gwajima akitoa hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 bungeni Dodoma Mei 17, 2024. Wizara hiyo imeomba fedha sh. bilioni 67.9 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages