LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 17, 2024

MAMBO YA BUNGENI DODOMA

Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi (kulia), akijadiliana jambo na Mbunge wa Liwale, Mohammed Kuchauka wakati wa kikao bungeni Dodoma Mei 17, 2024.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Fatma Toufiq akiwasilisha maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo bungeni Dodoma Mei 17, 2024.
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew akijibu maswali ya wabunge.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na wenye ulemavu akijadiliana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama.

Wabunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko (kulia) na Grace Tendega.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata akijadiliana jambo na Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo.


Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli (kulia) akiwa na Mwanasiasa Mkongwe Sophia Simba.

Mbunge wa Viti Maalumu, Grace Tendega (kushoto) akiwa na Mbunge wa Ilemela, Angeline Mabula.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Patropas Katambi akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu Esther Matiko..


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203


 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages