LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 31, 2024

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI SEOUL KOREA KUSINI


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe.  Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe.  Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024. Jiji hilola Sejong ni Makao Makuu Mapya ya Korea Kusini na Jiji hilo linamahusiano na Jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya Serikali.

 



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages