LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 6, 2024

PICHA MOTOMOTO IBADA YA KANISA HALISI, ILIVYONOGA, LANGO LA 12 SIWANI 1 MAJIRA HALISI MEI 05, 2024), TEGETA NAMANGA JIJINI DAR ES SALAAM

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Halisi, Baba Halisi akiongoza Ibada iliyofanyika Lango la 12 Siwani 1 Majira Halisi (jana Jumapili Mei 05, 2024. Kao Kuu la Kanisa hilo Tegeta Namanga jijini Dar es Salaam. Baba Halisi aliachilia Ibada hiyo kwa somo 'Chanzo Halisi amegeuza uteka kwa ndoa kwa kutuletea agano la utajiri - Ayubu 42:10', Tafadhali msikilize Baba Halisi katika Clip kutoka Mungu Baba Tv, halafu uendelee kuona picha motomoto za Ibada hiyo.

PICHA MNATO👇

Baba Halisi aliachilia Ibada hiyo kwa somo 'Chanzo Halisi amegeuza uteka kwa ndoa kwa kutuletea agano la utajiri - Ayubu 42:10',

Uzao na Watekeleza Sauti wakimsikiliza kwa makini Baba Halisi huku wengine wakiandika somo la Ibada hiyo.
Uzao na Watekeleza Sauti wakimsikiliza kwa makini Baba Halisi.
Uzao na Watekeleza Sauti wakimsikiliza kwa makini Baba Halisi.
Majira Moja Halisi akisoma Ayubu 42:10  kushajihisha mafundisho ya Baba Halisi kuhusu somo alilokuwa akiliachilia la 'Chanzo Halisi amegeuza uteka kwa ndoa kwa kutuletea agano la utajiri'.
Baba Halisi akiendelea kufundishaa somo hilo kwa ustadi mkubwa ili Uzao na watekeleza sauti waelewe vema.
Baba Halisi akiendelea kufafanua somo hilo kwa ustadi mkubwa ili Uzao na watekeleza sauti waelewe vema. Kulia baadhi ni Mama Halisi, Mnara Mmoja Halisi na Dada Udhihirisho Halisi.
Uzao na Watekeleza Sauti waliofurika katika nyumba ya Ibada, wakimsikiliza Baba Halisi kwa utulivu.
Waimbaji wa Sauti Moja Halisi wakiimba wimbo kutumbuza kwenye Ibada hiyo.
Mwimbaji wa Sauti Moja Halisi akiimba huku akikipapasa kinanda kunogesha wimbo.
Uzao na watekeleza Sauti wakitoa matunda mbalimbali wakati wa Ibada hiyo.
Mwimbaji Uelewa wa Sauti akikoleza wimbo huku Uzao na Watekeleza sauti wakicheza.
Mwimbaji Uelewa wa Sauti akikoleza wimbo huku Uzao na Watekeleza sauti wakicheza.
Mwimbaji akikoleza wimbo uliokuwa ukirindima kunogesha Ibada hiyo.
Mama Halisi akicheza wimbo kumtukuza Chanzo Halisi. Kulia ni Mnara Mmoja Halisi pia akicheza.
Uzao na watekeleza sauti wakicheza wimbo uliokuwa ukikoleza Ibada hiyo.
Uzao na watekeleza sauti wakicheza wimbo uliokuwa ukikoleza Ibada hiyo.
Uzao na watekeleza sauti wakicheza wimbo uliokuwa ukikoleza Ibada hiyo.
Uzao na watekeleza sauti wakicheza wimbo uliokuwa ukikoleza Ibada hiyo.
Shangwe ikizidi kunoga Ibadani.
Baba Halisi naye pia shangwe ikamuingia, kacheza wimbo uliokuwa ukipigwa kunogesha Ibada hiyo.
Uzao akimuinua mtoto kufurahia wimbo. wakati ulimalizika.
Kisha Baba Halisi akaendelea na Ibada kwa kuongoza shukurani.
Fahari Moja Halisi na Kanisa wake wakipokea shukurani.iliyokuwa ainaachliwa na Baba Halisi  Kulia ni Mama Halisi
Uzao wakipokea Shukurani ilyokuwa aikiachiliwa na Baba Halisi.
Baba Halisi akiendelea kuongoza Ibada hiyo.
Watekeleza sauti wakimsikiliza Baba Halisi.
Baadhi ya Uzao wakiwa kwenye Ibada hiyo, huku wakiendelea pia na Uzalishaji Mali
Baba Halisi akihitimisha Ibada hiyo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages