LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 26, 2024

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. SAMIA, KATIBU MKUU DK. NCHIMBI KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA 'MUZIKI WA MAMA' YA HARMONIZE, JANA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, alipowasili katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, kushuhudia uzinduzi wa Albamu mpya ya Msanii wa Mziki wa Bongofleva, Rajab Abdul Kahali uliofanyika jana, Mei 25, 2024. Kaulimbiu ya Albamu hiyo ni #MzikiwaMama #SamiaDay* Wengine ni Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni, Dk. Damas Ndumbaro, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Harmonize, ambaye pia ni Mmiliki wa Kundi la Mziki la Konde Music Worldwide.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Harmonize, Habiba Civalavala,  alipowasili katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, kwenye uzinduzi wa Albamu mpya ya Msanii wa Mziki wa Bongofleva, Rajab Abdul Kahali uliofanyika jana, Mei 25, 2024.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Harmonize alipowasili katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, kushuhudia uzinduzi wa Albamu mpya ya Msanii wa Mziki wa Bongofleva, Rajab Abdul Kahali uliofanyika jana, Mei 25, 2024.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili ukumbini. Kushoto ni Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson Mei 25, 2024.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili ukumbini.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi baada ya kuwasili ukumbini..
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla hiyo.


 Waliohudhuria wakiwa ukumbini kwenye hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages