LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 17, 2024

ZECHE WA CHADEMA AJIUNGA CCM


 

Msemaji Mkuu wa Wamachinga nchini ambaye alikuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zeche Chengula kutoka Iringa amejiunga leo na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukabidhiwa kadi ya uanachama na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi katika mkutano uliofanyika jijini Mbeya. Pichani ni Zeche akiwa amebebwa baada ya kukabidhiwa kadi.

Zeche akikabidhiwa kadi ya CCM
Furaha baada ya kukabidhiwa kadi
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla akimtambulisha Zeche.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

0754264203
 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages