Rais Samia Suluhu Hassan leo Aprili 3, 2024, amezindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika ukumbi wa JNICC Dar es Salaam.Chama cha Mapinduzi kinatekeleza Ilani yake.#chamachamapinduzi, #CCM, #CCMimara, #matokeochanya, #MSLAC, #katibanasheria, #wizarayahabari
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇