LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 23, 2024

RAIS DK. SAMIA AAGWA NA BALOZI WA RWANDA ANAYEMALIZA MUDA WAKE WA KAZI TANZANIA, LEO IKULU MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana, baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga kufuatia kumaliza muda wake wa kazi Tanzania, leo Aprili 23, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages