Baadhi ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia kwa makini wakati Profesa Gabriel akielezea kuhusu mafanikio ya mahakama nchini ikiwemo kuongezeka kwa majaji wa mahakama ya rufaa.
MIAKA 60 YA MUUNGANONA
ONGEZEKO LA MAJAJI MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA
- HudumayaMahakamayaRufaniyasogeazaidikwa
wananchi
Na Mwandishiwetu-Mahakamaya Tanzania
Kwa mujibu wa Ibara ya 4(2) na
107A(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chombo chenye mamlaka na
kauli ya mwisho katika kutekeleza utoaji
haki ni
Mahakama ya Tanzania.Mahakama ya Tanzania inajumuisha Mahakama ya Rufaniambayoutoahudumakwapandezote
za Muungano.
Mahakama ya Rufani ndiyo Mahakama ya juu kuliko zote nchini Tanzania ambayo
ilianzishwa chini ya Ibara ya 117 (1) ya Katiba ya Tanzania, 1977. Jaji Mkuu
ambaye huteuliwa na Rais ndiye Mkuu wa Mahakama ya Tanzania na Mahakama ya
Rufani.
Katika shughuli za kila siku za Mahakama ya Rufani, Jaji Mkuu husaidiwa na
Msajili wa Mahakama ya Rufani, kama Mkuu wa Masjala ya Mahakama, Naibu Msajili
Mwandamizi na Naibu Wasajili wa Mahakama hiyo. Msajili wa Mahakama ya
Rufani husimamia utendaji wa kazi za
Mahakama, kuratibu na kuwasiliana na Jaji Mkuu kuhusu masuala yanayohusu
shughuli za kila siku za Mahakama.
Kwa mujibu wa Muundo mpya wa Mahakama, usimamizi wa kila siku wa shughuli
za kiutawala na uendeshaji wa Mahakama kwa Mahakama ya rufani husimamiwa na
Mtendaji wa Mahakama ya Rufani.
Historia yaMahakamayaRufani
Mwaka 1963 mfumo mpya ulianzishwa
ambao uliunganisha Mahakama za wenyeji na Mahakama Kuu na kuondoa ubaguzi wa
rangi na ukatenganisha Mahakama
(judiciary) na Utawala (Executive). Sheria za kimila zilitambuliwa na
kuunganishwa ili kuondoa migongano ya sheria (Conflict of laws). Mabadiliko ya
mwaka 1963 yaliweka msingi wa mfumo wa Mahakama zilizo chini ya Mahakama Kuu
ambao upo hadi sasa.
Katika kipindi hicho rufaa kutoa
Mahakama Kuu zilipekwa Mahakama ya Rufani ya Afrika Mashariki (E.A.C.A)naJajiMkuuwa
kwanza MtanzaniaaliyeongozaMahakama Kuu ya Tanzania alikuwaMhe.
AugustinoSaidiambayealihudumukuanziamwaka 1971 mpakamwaka 1977.
Rufaa za kutoka Mahakama Kuu
ziliendelea kupelekwa Mahakama ya Rufani ya Afrika Mashariki hadi mwaka 1979
ilipoanzishwa Mahakama ya Rufani ya Tanzania.
Mahakama ya Rufani ilianza na Majaji
wa Rufani watano (5), idadi hiyo ikimjumuisha Jaji Mkuu, wakifanya kazi katika Masjala ya Dar es Salaam.
Mahakama ya Rufani ya Tanzania ilianzishwa kwa Sheria Namba 15 ya mwaka
1979 iliyoanza kutumika tarehe 9 Agosti 1979. Mahakama ya Rufani ilianza
kufanya kazi baada ya kuzinduliwa rasmi na Rais wa Awamu ya Kwanza wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tarehe 22 Oktoba
1979.
Kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1977 kulilazimu Nchi
Wanachama wa Jumuiya hiyo (Kenya, Uganda na Tanzania) kuanzisha Mahakama zao za
Rufani kuchukua nafasi ya Mahakama ya Rufani ya Afrika Mashariki.
Mabadiliko ya kwanza ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Sheria
Na. 14 ya 1979) yalianzisha rasmi Mahakama ya Rufani ya Tanzania chini ya Ibara
ya 68A ya zamani ya Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977na sasa Ibara ya 117(1).
Mahakama ya Rufani ya Tanzania ilichukua nafasi ya Mahakama ya Rufani ya
Afrika Mashariki, iliyoanzishwa chini ya Ibara ya 80 ya Mkataba wa Ushirikiano
wa Afrika Mashariki, 1967. Bunge la Tanzania lilitunga Sheria ya Mamlaka ya
Rufaa ya mwaka 1979 ili kuweka taratibu za rufaa kushughulikiwa na Mahakama ya
Rufani ya Tanzania iliyoanzishwa.
Kati ya mwaka 1977 na tarehe 9 Agosti, 1979, kulikuwa na Mahakama ya Rufani
ya “muda” ya Afrika Mashariki ndani ya Tanzania iliyoongozwa na Jaji Abdullah
Mustafa, kama Kaimu Rais, Majaji wengine waliazimwa kutoka Mahakama Kuu kwa muda. Uteuzi wa muda wa
Jaji Mustafa kuwa Kaimu Rais wa Mahakama ya “muda” ulimalizika wakati Mahakama ya Rufani ya Tanzania
ilipoanzishwa na kuzinduliwa tarehe 22 Oktoba, 1979.
Tangu kuanzishwa kwa Mahakama ya
Rufani imeongozwa na Mhe. Jaji Francis Lucas Nyalalikuanziamwaka
1977 hadi 2000, Mhe. Jaji Barnabas
Albert Samattakutokamwaka2000hadi2007, Mhe. Jaji Augustino Ramadhankutokamwaka2007hadi2011 ,Mhe. Jaji
Othman Chandekutokamwaka2011hadi2017naMhe. Prof. Ibrahim Hamis Jumakutoka
2017 hadisasa.
Wakati ilipoanzishwa tarehe 22 Oktoba, 1979, Mahakama ya Rufani ilikuwa na
Masjala moja Dar es Salaam, baadaye, Mahakama ilianzisha Masjala ndogo katika
Kanda za Mahakama Kuu, Mwanza na Arusha
ili kurahisisha huduma kwa wananchi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu
kuja Dar es Salaam kufungua rufaa zao.
MAMLAKA YA MAHAKAMA YA RUFANI
Mahakama ya Rufani inapata mamlaka yake kutoka katika Katiba na Sheria
zilizotungwa na Bunge. Sheria ya Mamlaka ya Rufaa, 1979 ilitoa mamlaka kwa
Mahakama ya Rufani za Mahakama Kuu za Tanzania na Zanzibar.
Katika kusikiliza rufaa, Majaji watatu wanaunda Mahakama Kamili na uamuzi
wa Mahakama ni wa walio wengi. Katika matukio mengine, Majaji watano, au Majaji saba,
wanaweza kuunda Mahakama kutegemea na shauri husika linalosikilizwa.
Jaji mmoja anaweza kukaa katika chumba chake
kusikiliza maombi ambayo yanastahili kuamuliwa na Jaji mmoja.
MIAKA 60 YA MUUNGANO KATIKA
MAHAKAMA YA RUFANI
Wakati Tanzania
ikiadhimishamiaka 60 yaMuunganowa Tanganyika na Zanzibar kumekuweponaongezeko
la MajajiwaRufani. Ongezeko la MajajiwaMahakamayaRufanilimeendasambambanauanzishwajiwaMasjalandogoyaMahakamayaRufaninchini.
WakatiMhe. Dkt. SamiaSuluhu Hassan akiingiamadarakaniMachi 2021 kulikuwanaMajajiwaRufani
16 nakatikauongozi wake hadikufikia 03 Septemba 2023
idadiyaMajajiwaRufaniimeongezekanakufikia 35 ikiwanizaidiasilimia 100.
Ongezekola
MajajiwaMahakamayaRufanikwasasalinawezeshamajopo 11 yamajajiwatatu,
majoposabayaMajajiwatanonamajopo Matano yaMajajisabakuendeshavikaovyaMahakamayaRufanikwawakatimmoja.
IdadiyaVituovyakusikiliziamashauriyaMahakamayaRufaniimeongezekanakutoka
16 wakati wa Mhe. Dkt. Samiaakiingiamadarakaninakufikiavituo
18 mpakasasa.
Vituo vya usikilizaji wa Mashauri ya Mahakama ya Rufani viko katika Masjala
za Mahakama Kuu za Arusha, Dar es Salaam, Bukoba, Dodoma, Iringa, Kigoma, Mbeya,
Morogoro, Moshi, Musoma, Mtwara, Mwanza, Shinyanga, Songea, Sumbawanga, Tabora,
Tanga na Zanzibar.
Kumekuwepona faida zilizotokana na kuongezeka kwa MajajiwaMahakamayaRufaniikiwanipamojanakupunguzamrundikanowamashauri,kusogezahudumakaribuzaidinaWananchikatikaMasjalazote
za Mahakama Kuu, Mashaurikusajiliwanakuamuriwakwawakatinakupunguamzigokwamajopoyaliyokuwepo.
UjenziwaKituoJumuishi cha Utoaji Haki Pemba,
ambaoutaanzahivikaribuninimiongonimwamafanikioyanayolengakusongezahuduma za
utopajihakikaribuna wananchi.
UwepowaKituohichoutaiwezeshaMahakamayaRufanikuwanaMasjalayakendogo,
hivyokuongezaidadiyaVikaovyaMahakamakwaupandewa Zanzibar.
Mwisho
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇