LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 23, 2024

MAAGIZO YA BALOZI DK. NCHIMBI WAKATI WA UCHAGUZI MKUU SERIKALI ZA MITAA MWAKA HUU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa maagizo au maelekezo kwa wanachama wa CCM moja ya njia muhimu za kufanya kupata wagombea mahiri na wenye ari, wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu hapa nchini. Tafadhali msikilize👇

CLIP: Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages