LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 8, 2024

LUKUVI AJADILI JAMBO NA SPIKA, WABUNGE

 




Mshauri wa Rais wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mbunge wa Ismani, Wiliam Lukuvi (kushoto) akijadiliana jambo na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) pamoja na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Suma  Fyandomo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 8, 2024.


Spika wa Bunge, Dkt Tulia akiwaambia jambo baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Kushoto ni William Lukuvi.


Lukuvi akijadiliana jambo na Mbunge wa Mbulu Vijijini,  Flatey Massay (kushoto) na Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga.
 

Lukuvi akimweleza jambo Mbunge wa Kalenga, Kiswaga.

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
-0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages