LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 16, 2024

DK NCHIMBI NI MTU WA WATU



 Katibu Mkuu wa Chama Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza mwananchi  aliyejitokeza kumlaki jana wakati msafara wake ulipowasili  katika Soko la Mazao Tunduma kwa ajili ya kusikiliza kero za wafanyabiashara hao Aprili 15, 2024. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages