Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Jaji Eliezer Feleshi.
Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi na Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta wakipitia jambo kwenye kompyuta mpakato bungeni Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, Dkt. Faustene Ndugulile akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ( Tume ya Uratibu na Udhibiti wa UKIMWI) kwa Mwaka wa Fedha wa 2024/2025.
Mbunge wa Kilwa Kaskazini Francis Ndulane akielezea bungeni kuhusu wananchi wa jimbo hilo walivyoathirika na mvua za El Nino kiasi cha baadhi kukosa maeneo ya kuishi.
Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga akitoa mchango wake bungeni Dodoma kuhusu wananchi wa jimbo hilo walivyoathirika na mvua za El Nino kiasi cha baadhi kukosa maeneo ya kuishi.
Mbunge wa Jimbo la Hanang, Injinia Samwel Hayyuma akielezea bungeni jinsi wananchi wa jimbo hilo wanavyoendelea kuathiriwa na mvua zinazoendelea za Eli Nino.
Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndingo (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Nachingwe, Amandus Chinguile
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalum, Dkt Alice Kaijage kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇