LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 16, 2024

RAIS MSTAAFU DK. KIKWETE ASHINDA TUZO YA KIONGOZI WA AMANI NA USALAMA, AKABIDHIWA JIJINI ADDIS ABABA

Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na tuzo yake kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu wa Machi 16, 2024.

Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa Mwenyekiti wa Jarida la Uongozi Afrika, Dk. Ken Giami kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini Addis Ababa, Ethiopia,
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akikabidhiwa tuzo yake na Waziri wa Mapato wa Jamhuri ya Ethiopia, Mama Aynalem Nigusie) na Mwenyekiti wa Jarida la Uongozi Afrika, Dk. Ken Giami kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini  Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Waziri wa Mapato wa Jamhuri ya Ethiopia, Mama Aynalem Nigusie) Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Innocent Shiyo  kwenye hafla ya kila mwaka ya Tuzo za Watu Bora wa Mwaka za ALM katika Hoteli ya Ethiopian Skylight jijini Addis Ababa, Ethiopia, usiku huu.
 

 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages