LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 1, 2024

RAIS MSTAAFU DK. KIKWETE AFIKA MSIBANI NYUMBANI KWA HAYATI MZEE MWINYI, MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mikocheni Jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mikocheni Jijini Dar es Salaam, leo. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji Wanafamilia na waombolezaji wengine, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mikocheni Jijini Dar es Salaam, leo.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akimfariji Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mikocheni Jijini Dar es Salaam, leo.


 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages