Afisa Mwandamizi wa Habari na Mawasiliano kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina, Sabato Kosuri, akizungumza katika kikao kazi baina ya TANAPA na Wahariri wa habari kilichofanyika leo Machi 21, 2024 jijini Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa hazina ndiyo iliyoratibu kikao hicho.
Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Mhandisi Mshauri, Dkt. Richard John Matolo, akizungumza katika kikao kazi hicho.Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye kikao kazi hicho.
Afisa Uhifadhi Mkuu - TANAPA ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Mawasiliano, Catherine Mbena, akizungumza katika kikao kazi hicho.Naibu Kamishna wa Uhifadhi, Herman Batiho akiwa kwenye kikao kazi hicho.
Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Jully Lyimo akiwa kwenye kikao kazi hicho.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile akizungumza kwenye kikao kazi hicho.
Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika hilo Mussa Nassoro Kuji Juma akihitimisha kikao kazi hicho. Kwa habari kamili Bofya👉 HAPA
Your Ad Spot
Mar 21, 2024
Home
featured
habari picha
PICHA: KIKAO KAZI BAINA YA TANAPA NA WAHARIRI WA HABARI, KILICHOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO MACHI 21, 2024
PICHA: KIKAO KAZI BAINA YA TANAPA NA WAHARIRI WA HABARI, KILICHOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO MACHI 21, 2024
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About CCM Blog
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot





No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇