LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 13, 2024

MBUNGE LUGANGIRA APATA TUZO YA KIMATAIFA

 


 Tuzo ya Uwezeshaji Wanawake 

- Kutambua mchango wa Mhe Neema Lugangira katika uwezeshaji wanawake na watoto wa kike kupitia kuchagiza mabadiliko ya Sera & Sheria na kuimarisha Sekta ya Afya na Haki ya Jamii nchini Tanzania na Barani Afrika 

Tuzo imetolewa na Shirika la Kimataifa Journalists and Writers Foundation ambao ni Wanachama
Waangalizi wa Umoja wa Mataifa 

đź—“️ 12 Machi 2024 
📍New York, Marekani

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages