LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 13, 2024

DK NCHIMBI AKUTANA NA VIONGOZI WA SIMBA WAKATI WA FUTARI IKULU

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akizungumza jambo na Viongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Simba, ambao ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdalla Muhene (aliyeshikana nae mkono), Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu (kushoto kwa Dk. Nchimbi) na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally (wa pili kutoka kulia pichani), huku Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam, Ndugu Abbas Mtemvu (wa tatu kutoka kulia pichani), Katibu wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam, Ndugu Adam Ngalawa (wa kwanza kulia) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Ndugu Juma Simba ‘Gadafi’ wakifuatilia mazungumzo hayo. Ilikuwa wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Jumanne, Machi 12, 2024, Ikulu, Dar Es Salaam.


 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages