LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 26, 2024

KONGAMANO LA WANAWAKE LA MALEZI, MAKUZI BORA YA WATOTO, UJASIRIAMALI LAFANA KANISA LA KARMELI



Askofu Dkt Evance Chande  Kanisa la Karmeli Assembilies Off God  (KAG) la Ipagala jijini Dodoma akitoa neno la utangulizi wakati wa Kongamano  Kubwa la Wanawake  Mashujaa wa lilofanyika kanisani hapo Machi 26, 2024.

Kongamano hilo lililohudhuriwa na wanawake na wanaume wa dini tofauti lilihusu mafunzo ya Malezi ya Watoto,Ndoa na Nyumba, Afya ya Akili, somo la mapishi, Wajane, Ujasiriamali na Utumishi katika Kazi ya Mungu. 
Mtalaam wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, Benedict Missani



Sehemu ya wanawake waliohudhuria kongamano hilo






IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages