... ⚙️
Ukiacha suala la kuwakosa key players wake (3), Gamondi alikuja na Approach sahihi dhidi ya Mamelodi Sundowns.
Alibadili aina ya uchezaji uliozoeleka Yanga 'POSSESSION FOOTBALL' akaja na MID-BLOCK Mchezo ambao hawaupendi Mamelodi ambao umewaondosha mara kadhaa kwenye mashindano haya.
Mamelodi walicheza kwa tahadhari kubwa ndio maana katika pasi 500+ walizopiga 70% ya pasi hizo walipiga kwenye eneo lao ... Gamondi aliwaachia mpira kwenye eneo lao na kuutaka kwa lazima wanapofika katikati ya uwanja. APPROACH ya kibingwa ☑️
Kama kocha unampa 80% kwa sababu matukio yote muhimu uwanjani yalifanywa na Yanga Kimbinu kilichobaki ilikuwa kuuweka mpira nyavuni tu umakini ulipungua kwa Mzize ×2, Aziz Ki ×1 na Musonda ×1,, Kocha afanye nini aingie afunge yeye ?
... Jibu ni Hapana, kazi yake alishamaliza. (
BASICS) Unaweza kumlaumu kocha iwapo tu timu haifiki na haitengenezi nafasi za kufunga kwenye goli la mpinzani.
Takwimu hizi zinaeleza vizuri kwa muhtasari nilichoandika hapo juu.
𝙔𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙈𝙖𝙢𝙚𝙡𝙤𝙙𝙞
____________________________________
4 ........... Shots on target ............... 2
2 ............. Big chances .................... 0
2 ......... Goalkeeper saves .............. 4
Wachezaji wenye rate kubwa ya Performance kwenye Mchezo.
◉ 7.8 — Ronwen Williams (Golikipa)
◉ 7.2 — Ibrahim Bacca.
Akienda na Approach kama hii Pretoria 🇿🇦 akawaongeza Aucho, Pacome na Yao NUSU FAINALI CAF champions league sio kitendawili kigumu sana.
🧠 Tom Cruz facts
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇