LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 15, 2024

BALOZI DK. NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, leo Ijumaa, Machi 15, 2024, Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam. Mazungumzo yao yamegusa zaidi juu ya masuala ya uhusiano na urafiki wa kindugu kati ya CCM na Chama cha Kikomunisti CPC) cha nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages