Waziri Mkuu Majaliwa amewaagiza viongozi wa Wakala wa Vipimo (WMA), wasimamie vema sheria ya vipimo na kanuni zake kwa kukagua na kuhakiki mara kwa mara vipimo vinavyotumika katika sekta mbalimbali ikiwemo ukaguzi wa bidhaa zilizofungashwa na ufungashaji sahihi wa mazao ya kilimo.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Ashatu Kijaji akitoa neno kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Majaliwa kuhutubia.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika akitoa agizo kwa WMA kuelekeza nguvu kutokomeza suala la lumbesa ili wakulima wasiendee kuibiwa..
Waziri Ashatu Kijaji akiteta na Waziri Mkuu Majaliwa.Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇