Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiambatana na viongozi mbalimbali wa UWT, Leo Tarehe 23 Februari 2024, wamewasili msibani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Mzee Hassan Wakasuvi nyumbani kwake Mabama, Wilaya ya Uyui , Mkoani Tabora.
🕯️PUMZIKA KWA AMANI ALHAJ MZEE HASSAN WAKASUVI🕯️





No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇