LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 23, 2024

RAIS DK. SAMIA AWASILI WINDHOEK NCHNI NAMIMBIA KUSHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA NCHI HIYO DK. GEINGOB

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili leo katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Dk. Hage Geingob, yatakanyika Windhoek tarehe 24-25 Februari, 2024.
Wanajeshi wa Namibia wakimpa heshima Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwasili leo katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Dk. Hage Geingob, yatakanyika Windhoek tarehe 24-25 Februari, 2024.
 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages