LATEST HEADLINES๐Ÿ‘‰

Your Ad Spot

Feb 22, 2024

SPIKA TULIA AKUTANA NA RC HOMERA

 

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa huyo zilizopo Jijini Mbeya leo tarehe 22 Februari, 2024. @ipu.parliament_official @tulia.ackson @bunge.tanzania


 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO๐Ÿ‘‡

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages