![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024. |

| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024. |

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇