LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 24, 2024

DK NCHIMBI ATUA TABORA MAZISHI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM TABORA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Komredi Daniel Chongolo  baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora mapema leo Jumamosi Februari  24, 2024 asubuhi, akiwasili mkoani humo kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.

Mazishi hayo yanayotarajiwa kufanyika leo katika Kijiji cha Mabama, Wilaya ya Uyui, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, atawakilishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages