Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi, katika picha za matukio mbalimbali kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, ikiwa ni pamoja kushiriki ibada ya mazishi, utoaji wa heshima za mwisho, kuweka mchanga kwenye kaburi na kuweka shada la maua, ikiwa ni sehemu ya shughuli ya kumsindikiza Hayati Lowassa katika safari yake ya mwisho duniani, iliyofanyika leo Jumamosi, Februari 17, 2024, Kijiji cha Ngarash, Monduli, mkoani Arusha.
Your Ad Spot
Feb 17, 2024
DK NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA HAYATI LOWASSA
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About CCM Blog Author
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇