LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 30, 2024

VIONGOZI WA YANGA, SIMBA WATAMBULISHWA BUNGENI

 


Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Imani Kajula (kushoto) akiwa na Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said eneo la wageni wa  Spika wa Bunge walipotambulishwa bungeni Dodoma ambapo Spika Tulia Ackson alitangaza matokeo ya mashindano ya Azania Bunge Bonanza yaliyowashirikisha wabunge wapenzi wa Yanga na Wabunge wapenzi wa Simba na watumishi wa wabunge kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma Jumamosi Januari 27, 2024. Simba walipata ushindi wa jumla  na Yanga waliibamiza Simba katika soka jumla ya mabapo 5-4.


Hersi wa Yanga akitambulishwa
Kajula wa Simba akitambulishwa.


Msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitambulishwa 

MSEMAJI WA Simba, Ahmad Ali akitambulishwa

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages