LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 30, 2024

MAMBO YA BUNGENI LEO


Kutoka kushoto ni; Bahati Ndingo Mbunge wa Mbarali, Mbunge wa Viti Maalumu,Balozi Liberata  Mulamula, Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka na Mbunge wa Kwela, Deus Sangu.

Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge tayari kuwahi kuingia bungeni Dodoma Januari 30, 2024 kuhudhuria Mkutano wa Kumi na Nne Kikao cha kwanza.


Kutoka kushoto ni Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo, Mbunge wa Moshi Vijijini,  Prof. Patrick Ndakidemi, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga na Mbunge wa Viti Maalumu, Khadija Taya.


Mbunge wa Kyela, Ali Jumbe na Mbunge wa Shinyanga Mjini na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu. Patropas Katambi.

Mbunge wa Viti Maalumu Subira Mgalu
Mbunge wa Manonga, Seif Gulamali

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde

Mbunge wa Viti Maalumu, Oliver Semuguruka.



Mbunge wa Arumeru Mashariki, Dkt. John Pallangyo.

Mbunge wa Lupembe, Edwin Swale.

Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave 
Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika na Mbunge wa Busanda, Tumaini Magesa
Mbunge wa Kigamboni,  Dkt. Faustine Ndugulile
Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo
Mbunge wa Kilombero,  Abubakar Asenga
Mbunge wa Manyoni Magharibi,Yahya Massare

 Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiku.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages