LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 26, 2024

RAIS DK. SAMIA AZUNGUMZA NA BAADHI YA VIONGOZI WANAWAKE INDONESIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Viongozi mbalimbali Wanawake wa Indonesia katika Mkutano uliofanyika Jakarta ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini humo jana, tarehe 25 Januari, 2024.
 
Baadhi ya viongozi mbalimbali Wanawake wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Jijini Jakarta ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini humo jana, tarehe 25 Januari, 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages