LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 10, 2024

RAIS DK. MWINYI AFUNGUA ENEO LA MAONESHO YA BIASHARA NA TAMASHA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akifungua pazia kuashiria  ufunguzi wa eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi, leo ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo baada ya kufumgua eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi, leo ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiagua maeneo mbalimbali baada ya ufungua eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi, leo ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages