mtaala wa sekondari mkondo wa Amali, katika awamu ya kwanza, yaliyofanyika katika Chuo cha Ualimu, Morogoro, leo Januari 8, 2024
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dk. Aneth Komba, akieleza muktadha wa mafunzo hao kabla ya kumkaribisha Katibu Mtendaji NACTVET Dk. Adolf Rutayuga ili amkimkaribishe Dk. Rwezimula kufungua mafunzo hayo."Somo la Historia ya Tanzania na Maadili limebeba maudhui yanayolenga kumjenga Mtanzania kuwa mzalendo na muwajibikaji anayefahamu historia, desturi, mila na maadili ya nchi yake", akasema Dk. Aneth.
Katibu Mtendaji NACTVET Dk. Adolf Rutayuga akimkaribisha Dk. Rwezimula kufungua mafunzo hayo.
Dk. Rwezimula kufungua mafunzo hayo.Dk. Rwezimula alipongzwa na Dk. Aneth baada ya kufungua mafunzo hayo.Mweneyekiti wa washriki wa mafunzo hayo akitoa neno la shukurani kwa mgeni rasmi.
Wawezeshaji na washiriki wa mafunzo hayo walipokwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi.
Washiriki wa mafunzo hayo walipokwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi.Washiriki wa mafunzo hayo walipokwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi.Washiriki wa mafunzo hayo walipokwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi.Ukumbi ukiwa umefurika washiriki.
Washiriki wa mafunzo hayo walipokwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi.Mgeni rasmi Dk.Rwezimula akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa TET DK. Aneth wakati akienda nje ya ukumbi baada ya kufungua mafunzo hayo.
Kisha Dk. Rwezimula, Dk. Aneth na Dk. Rutayuga wakapigwa picha za kumbukumbu na wawezeshaji na washiriki wa mafunzo hayo.👇
===========
Dk. Rwezimula, Dk. Aneth na Dk. Rutayuga
Mkurugenzi wa Mafunzo ya Mitaala Dk. Fika Mwakabungu akitoa maelekezo kwa washiriki kwenda kwenye vyumba kwa makundi tofauti tofauti ili kuweza kupatiwa mafunzo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇