LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 1, 2024

NGULI KATIKA TASNIA YA HABARI, NAKAJUMO NA HOKORORO WAKUTANA OFISI ZA GAZETI LA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Habari (Maelezo) Raphael Hokororo akizungumza na Mhariri wa habari Mstaafu wa Uhuru Publications Ltd (UPL), Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo Joe Nakajumo, walipokutana, katika Ofisi za  UPL, Mtaa wa Lumumba  Jijini Dar es Salaam, mwaka jana, Ijumaa  Disemba 29,2023. kwa ufupi wote bado wapo 'fiti'.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages