LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 20, 2024

KASAKA: TUNAKUSHUKURU RAIS SAMIA KUTUPATIA GARI LA WAGONJWA CHUNYA






 Mbunge Jimbo la Lupa Mhe. Masache Kasaka amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwa kutoa gari la Wagonjwa (Ambulance) Hospitali ya Wilaya Chunya. Mhe Masache ameeleza Maboresho ya Sekta ya Afya kwa ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya. Naye Mganga Mkuu Wilaya Dkt. Darson amemshukuru Rais Samia kwa kutoa Fedha zaidi ya Sh. Bil 1.5 za ujenzi wa majengo nane na Sh, Mil 600 za dawa na vifaa tiba kwa mwaka huu wa fedha.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages