LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 29, 2024

JAJI DK. FELESHI ANENA MAKUBWA MAONESHO WIKI YA SHERIA


 Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Dkt Eliezer Feleshi  (katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa mahakama akiondoka baada ya kuzungumza na vyombo vya habari  alipotembelea mabanda mbalimbali katika Maonesho ya Maadhimisho ya  Wiki ya Sheria kwenye viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma Januari 28, 2024. 


Moja ya mambo aliyofurahishwa  kuzinduliwa kwa mfumo wa kisasa unaochukua mashauri na mwenendo wa kesi mahakamani jambo ambalo amedai ni mafanikio makubwa na mfano kwa Afrika na duniani

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages