LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 21, 2024

DKT NCHIMBI NI CHAGUO SAHIHI, TUMUUNGE MKONO-ASENGA


 Mbunge wa Kilombero, Ifakara mkoani Morogoro, Abubakar Asenga amefurahishwa na ujio wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Emmanuel Nchimbi na kwamba muunganiko wa pasi zao  na Katibu Mwenezi wa  chama hicho utaifanya CCM kupata ushindi mnono katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu 2025.


Ameyasema hayo alipokuwa akitoa maoni yake kuhusu uteuzi wa Dkt Nchimbi katika viunga vya Bunge jijini Dodoma Januari 19, 2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages