Mbunge wa Kishapu, Boniface Butondo ambaye ni mnazi mkubwa wa Klabu ya Yanga amejinasibu kuwa watawafunga michezo yoto wabunge wapenzi wa Klabu ya Simba katika Bonanza la michezo litakalofanyika Jumamosi Januari 27, 2024 kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Majigambo hayo ameyatoa leo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma mbele ya Mwandishi wa habari hizi.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇