LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 22, 2024

BALOZI DK. NCHIMBI AKABIDHIWA OFISI NA CHONGOLO, MAKAO MAKUU YA CCM MJINI DODOMA, LEO JANUARI 22, 2024

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi akikabidhiwa nyaraka na Katibu Mkuu Mstaafu Daniel Chongolo wakati wa makabidhiano rasmi ya Ofisi, yaliyofanyika leo Januari 22, 2024, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM Daniel Chongolo akizungumza katika makabidhiano hayo. Kushoto ni Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM.
Katibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Salum Reja akizungumza katika makabidhiano hayo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages