LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 3, 2024

ASKOFU CHANDE AIOMBEA NCHI BARAKA, RAIS SAMIA, UCHAGUZI

 


 Askofu Mkuu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God , Dkt. Evance Chande ameukaribisha mwaka mpya wa 2024 kwa kuiombea nchi baraka, Rais wa Nchi, Dkt Samia Suluhu Hassan na viongozi mbalimbali ili waiongoze vyema nchi.

Aidha, Akofu Chande ameuombea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwaka huu kwamba ufanyanyike kwa amani na utulivu.


Amefanya maombi hayo wakati wa Ibada ya Mwaka Mpya  kanisani kwake Ipagala jijini Dodoma Januari Mosi, 2024.


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,  Askofu Chande akiongoza maombezi hayo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages