Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabiri Shekimweri akizungumza katika warsha ya dhana ya Wamiliki Manufaa wa kampuni na majina ya biashara iliyoandaliwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Lerseni (BRELA) na kuhudhuriwa na mawakili, wahasibu, wafanyabiashara na maafisa wa kampuni za ushauri wa biashara jijini Dodoma Desemba 5, 2023.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇