Tukio hilo limefanyika leo wakati DC Shekimweri akifungua kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule Semina kuhusu dhana ya wamiliki manufaa wa kampuni na majina ya biashara jijini Dodoma Desemba 5, 2023.
Waliohudhuria semina hiyo ni; mawakili, wahasibu, wafanyabiashara na maafisa kutoka kampuni za ushauri wa biashara mkoani humo.
Baadhi ya mawakili wakiwa wameinama ikiwa ni ishara ya kuomboleza kwa waliokufa pamoja na kuwakumbuka waathirika wa mafuriko hayo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇