LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 16, 2023

RAIS DK. SAMIA AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA (NECTA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaidiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda kuvuta kijipazia, kuzindua Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 16, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 16, 2023.

Viongozi na wageni mbalimbali wakiwakweneye hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages