LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 16, 2023

MAJULE: CHATANDA UKIENDELEA NA KASI HII, USHINDI KWA DKT SAMIA MAPEMA 2025


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Dodoma, Neema Majule amesema kuwa tangu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda aingie madarakani kasi yake inatisha na akiendelea na kasi hiyo Dkt Samia Suluhu Hassan atapata ushindi asubuhi na mapema katika uchaguzi wa 2025.

Ameyasema hayo alipopata fursa ya kuwakaribisha katika mkoa huo watendaji wakuu wa UWT kutoka Tanzania Bara na Visiwani katika semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa iliyofanyika kwenye Ukumbi White House Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Desemba 11, 2023


 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages