Afisa Mwandamizi wa Habari na Mawasiliano kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Sabato Kosuri, akifanaya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency - PBPA) na Wahariri wa Vyombo vya Habari, kilichoratibiwa na OTR na kufanyika Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 11, 2023. Kushoto ni Mkaguzi Petroli kutoka PBPA Bruno Tarimo.
Kaimu Mkurugenzi wa PBPA, Bw. Erasto Mulokozi, akitoa Wasilisho kwenye kikao kazi baina ya Wakala hyo na Wahariri wa Habari kilichoratibiwa na OTR na
kufanyika Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 11, 2023. Kushoto ni Mkaguzi
Petroli kutoka PBPA Bruno Tarimo.Baadhi ya Wahariri wa Habari wakiwa kwenye Kikao kazi hicho.Baadhi ya Wahariri wa Habari wakiwa kwenye Kikao kazi hicho.Kosuri na Afisa habari wa PBPA wakifuatilia mambo yalivyokuwa yakienda vema wakati wa kikao kazi hicho.
Kosuri akikaribisha maswali baada ya Kaimu Mkurugenzi wa PBPA kuwasilisha wasilisho lake.kwenye Kikao Kazi hicho.
Kaimu Mkurugenzi wa PBPA akijibu maswali yaliyoulizwa na baadhi ya Waahariri wa Habari kwenye Kikao Kazi hicho.
Baadhi ya Wahariri wa Habari wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi huyo wakati akijibu maswali, na baadaye kufunga kikao hicho kwa kutoa neno la Shukurani kwa Serikali ya Awamu ya Sita, Msajili wa Hazina na Wahariri hao.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Yasin Sadick akitoa neno la shukurani mwishoni mwa kikao kazi hicho. Habari Kamili Bofya👉 Hapa
Your Ad Spot
Dec 11, 2023
Home
featured
habari picha
PICHA: KIKAO KAZI CHA WAKALA WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO DISEMBA 11, 2023
PICHA: KIKAO KAZI CHA WAKALA WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO DISEMBA 11, 2023
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About CCM Blog
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot








No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇