LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 11, 2023

MACHA ATETA NA KATIBU MKUU WA SWAPO

 





 Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Anamringi Macha, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama cha South West Africa People’s Organization (SWAPO - chama tawala cha Namibia), Komredi Sophia Shaningwa, leo Jumatatu, Disemba 11, 2023, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, ambapo pande hizo mbili wamejadiliana masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kirafiki na kidugu uliopo kati ya vyama hivyo viwili na nchi za Tanzania na Namibia. CCM na SWAPO ni kati ya vyama sita marafiki, vya ukombozi Kusini mwa Afrika.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages