LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 19, 2023

KIMBISA AMMWAGIA PONGEZI MAJULE KWA KUTOA MSAADA WA VYEREHANI 150 KWA WANAWAKE


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Alhaji Adam Kimbisa ametoa pongezi tele kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma, Neema Majule kwa kutoa msaada wa vyerehani 150 kwa wanawake wa Kata 150.

Amepotoa pongezi hizo wakati wa kukabidhi msaada huo jijini Dodoma Desemba 19, 2023.











 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages